Ma-agent
Kila hatua ya agent wako, live.
Anasoma nini, ana-edit nini, ana-run nini. Mjibu hapo hapo bila kurudi kwenye terminal, na ufuatilie matumizi yako ya Claude.
Pip kwa Windows na Mac
Kisiwa kidogo juu ya screen yako kinachokuonyesha Claude Code na Codex wanafanya nini, muda wote. Kwa Kiswahili.A small island at the top of your screen that shows you what Claude Code and Codex are doing, right now. In Swahili.
Peleka mouse juu ya kisiwa kinafunguka. Ondoa, kinajifunga.
Claude Code na Codex, chini ya macho yako bila kuacha unachofanya.
Ma-agent
Anasoma nini, ana-edit nini, ana-run nini. Mjibu hapo hapo bila kurudi kwenye terminal, na ufuatilie matumizi yako ya Claude.
Ruhusa
Agent akiomba ruhusa, swali linakaa kwenye kisiwa chenyewe.

Pip
Chat hapa hapa kwenye kisiwa: eleza, sahihisha au tafsiri ulicho-copy, au muulize kuhusu screen yako. Anajibu kupitia Claude Code au Codex yako.
Wimbo unaopenda, na muda wa kuzama kwenye kazi.
Muziki
Play, pause, ruka. Picha ya album na mwaka wa wimbo zinajazwa zenyewe, na rangi ya kisiwa inafuata picha ya wimbo.
Focus
Dakika 1 hadi 60, na saa itakapoisha.
Modes
Timer, YouTube na TikTok zinazuiwa, kisha kila kitu kinarudi.
Mchongo wa leo na barua zinazosubiri, kwa jicho moja.
Kalenda
Siku au mwezi mzima, kutoka Google Calendar.
Idadi ya email tu. Pip haisomi email zako.
Pip inafanya kazi kwenye PC au Mac yako. Hakuna matangazo, hakuna kufuatiliwa.
Installer kwa Windows, DMG kwa Mac. Haiombi admin.
Bonyeza "Unganisha" kwa Claude Code au Codex.
Pip anakushtua agent akikuhitaji au akimaliza.
Siku 7 za kwanza ni bure, kila kitu kikiwa wazi. Baada ya hapo, island na hali ya ma-agent wako vinaendelea kufanya kazi bure; tabs nyingine zinahitaji leseni ya TSh 5,000, unalipa mara moja tu kwa M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, HaloPesa au kadi. Leseni inakaa kwenye akaunti yako, kwa kila PC na Mac.
Ni hiari. Ukiingia na Google au email (code ya tarakimu 6, hakuna password), mipangilio yako, noti, mji na link ya kalenda vinahifadhiwa pip.bang.co.tz, na vinarudi vyenyewe ukiingia kwenye PC au Mac nyingine yenye Pip. Unaweza kuifuta muda wowote kwenye Settings. Bila akaunti, Pip inafanya kazi yote.
Ma-agent ndio kazi kuu, lakini muziki, focus, kalenda, noti na mafaili vinafanya kazi bila agent.
Installer bado haina signature. Bonyeza "More info" kisha "Run anyway".
Hapana. Pip inaongeza entries zake tu, inaweka backup, haibadilishi status line uliyonayo, na ukiiondoa inaondoa entries zake.
Windows: Settings, kisha Apps, kisha Pip, kisha Uninstall. Mac: toa tiki za ma-agent kwenye Settings za Pip, kisha futa Pip kwenye Applications.
Ndiyo. Mac zote, Intel na Apple silicon. Kwenye MacBook yenye notch, kisiwa kinakaa juu ya notch yenyewe. Mara ya kwanza bonyeza kulia Pip kwenye Applications kisha Open, kwa sababu bado haina signature.
Windows 10 na 11 · Mac · Jaribu siku 7 bure